Popular Posts

Tuesday, August 4, 2009

SOLO THANG a.k.a TRAVELLER

Huyu ndiye solo Thang mkali wa vina kama mpenzi wa bongon flavour kitambo kile, lakini now mshikaji yupoi pande za UK siyo Ukonga United KingDom anapigwa na upepo wa ukweli tuachane na hayo kusema kweli mshkaji anajua si wote tunakijua kitu chake cha traveller na hiki cha MSELA cha wateule mchizi mnamuonaje.

No comments:

Post a Comment