
Mchizi huyu katoka zake mbele alikuwa Pande za kina T.I now yupo bongo asukuma gurudumu la kimasikini, si bora arudi pande alizokuwa. Eti amekuja kumalizia $. Alafu amefungua maduka yanguo mtoto anamatatizo. Alafu katoboa sikio la kushoto we mcheck vizur.kama vipi rudi kwenu bro bongo hakuna la mana mtu mzima.
No comments:
Post a Comment